DUNIA (EP 52)

Поделиться
HTML-код
  • Опубликовано: 13 апр 2025
  • #dunia

Комментарии • 6 тыс.

  • @NestymwampambaNesty
    @NestymwampambaNesty Месяц назад +371

    KAMA HUJAWAHI KUIONA OFFICE YA MANYANYA KAMA MIMI TUJUANE HAPA❤❤❤😂😂😂

  • @OlivierAkili
    @OlivierAkili Месяц назад +27

    Pamoja nakupenda filamu hii,Ombeyeni pia juu ya usalama ya nchi yangu Congo drc

    • @Kamondi-c5j
      @Kamondi-c5j День назад

      Tupo kaka yangu nipo Drc butembo

  • @DamarisDammie
    @DamarisDammie Месяц назад +800

    Wale tumefurahia kwa kutochelewesha hii movie hello 👋👋 from 🇰🇪🇰🇪🇰🇪🇰🇪

    • @LucyAnyango-j3d
      @LucyAnyango-j3d Месяц назад +11

      Acha nirudishe meno ndani sasa😂😂

    • @catherinejustine6390
      @catherinejustine6390 Месяц назад +8

      Watu mpo busy kuomba like mi mnanikera 😡,badala ya kukoment kinachohusiana na tamthilia

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie Месяц назад +3

      ​@@catherinejustine6390 sister I you crazy,just read a comment & understand kindly hehehehehe

    • @DamarisDammie
      @DamarisDammie Месяц назад +2

      ​@@LucyAnyango-j3d🤣🤣🤣 lipuka kicheko

    • @StaceyAkinyi-t5b
      @StaceyAkinyi-t5b Месяц назад +2

      Jamani manyanya amrudie mkewe😢😢😢,,,,,mbona kumliza ,,,,tayari vaii kashajifunza

  • @KamikaziDeborah-j7p
    @KamikaziDeborah-j7p Месяц назад +14

    Wenye mnaona kama mdogo wake vai kampenda shemej manyany 😅tunyoosheni kidole😂

  • @KibweOnlineTv
    @KibweOnlineTv Месяц назад +455

    Kama Unaamini Mungu Amekubariki Kutazama Series yetu pendwa ya Dunia Episode ya (52) Gonga like hapa, Pia Mwenyezi Mungu Azidi kuwapa Afya njema Inshaallah🙏🙏

    • @JeniphaElikan
      @JeniphaElikan Месяц назад +3

      Mnatucheleweshea Hadi tunakata tamaa af zikija nivifupi shida nn

    • @jimfx01michael93
      @jimfx01michael93 Месяц назад +1

      Vai mbaka moto umuwakie 😂

    • @LilianKangu-sv1ts
      @LilianKangu-sv1ts Месяц назад

      Hslooooo anachoke haaaaah manyanya

    • @MuyumbaSephora
      @MuyumbaSephora Месяц назад +1

      Dunia ni show kabisa,naipenda Sana iyi muvie,yani kawimbo kazuri Sana i sai

    • @AboubakariMtili
      @AboubakariMtili Месяц назад

      Mwache abaki na komwe lake

  • @SomoeAli-z1s
    @SomoeAli-z1s Месяц назад +12

    Ila jaman ukweli usemwe kwenye hili goma piss kali ndo zimejaa 👌👌

  • @AbisaiElisha-d8s
    @AbisaiElisha-d8s Месяц назад +36

    Mat anajua San kupenda ...afu manyanya vitu anavopata uku kwa mkewe hapat yule kajaa jeur tu ,,respect sana mat❤🎉

  • @Plamedi-ms1nr
    @Plamedi-ms1nr Месяц назад +4

    😂😂sasa mdongo wake na vai😂 ni vipi⁉️😁mimi umeniuwa wallah ooh vitunguu manyanya sijuwe chepuko tuko nguvu vai ashikiliye ngufu tuh😅😂

  • @FistonBirare
    @FistonBirare Месяц назад +87

    Manyanya big up sana my brother kama kanumba vile daah kazi nzuri sana
    Like kutoka zangu kutoka South Africa 🇿🇦 🎉🎉

  • @natashadaniel5099
    @natashadaniel5099 Месяц назад +521

    😂😂😂😂Jamani mapenzi ya manyanya na Matty nimazuri sana adi raha wanavyo ishi 😂😂 wanao ungana na mm tujuane🎉🎉🎉

  • @BertinaCatitiAdamu
    @BertinaCatitiAdamu Месяц назад +258

    Awa michepuko ya mdeme imenivunja mbavu 😅 aliecheka kama mimi tujuane 😂

    • @carolineodeyo3456
      @carolineodeyo3456 Месяц назад +3

      washasema mdeme Ana lolote😂🤪

    • @EsterJulius-f2q
      @EsterJulius-f2q Месяц назад +1

      😂😂😂

    • @GraceWairimu-i7y
      @GraceWairimu-i7y Месяц назад +4

      @@BertinaCatitiAdamu Wacha wakutwe bibiye naye kaenda kuzima moto kwa dadake na kwake alishindwa kuuzimanga kweli nyani haoni k_ _ _ _ _ _

    • @AngelAdroph
      @AngelAdroph Месяц назад +1

      😂

    • @AnnaSilvn
      @AnnaSilvn Месяц назад +1

      😂😂😂😂😂😂 htr san

  • @BuffaloKhan-y7w
    @BuffaloKhan-y7w Месяц назад +7

    So poa vai regebesha kauri zako kwa mumeo ❤❤❤❤❤❤

  • @HassanVunga-m8x
    @HassanVunga-m8x Месяц назад +81

    Hili goma hatari aiseee nani anamkubali manyanya mtaalamu..❤

  • @lucykavundo9133
    @lucykavundo9133 Месяц назад +43

    Michepuka ya mdeme chukue maua yenu 🎉🎉🎉🎉🎉😂😂😂😂😂😂

  • @batuli-n8e
    @batuli-n8e Месяц назад +296

    Nan upenda mziki ambao upiga kabla atokezee mudi na sindi 😂😂😂😂😂🎉

    • @judithkadhengi7230
      @judithkadhengi7230 Месяц назад +9

      😂😂😂huo uko special kwa mudi na sindi😂😂😂😂😂

    • @RahmaMduma-y2w
      @RahmaMduma-y2w Месяц назад +7

      Mie nikiuskia. Najuwa tyl😂

    • @NyevuLucy
      @NyevuLucy Месяц назад +7

      Nkishaskia huo mziki najua Mudy muzunguu😅

    • @zawadikimaro4087
      @zawadikimaro4087 Месяц назад +1

      Hapo Sasa mbea wenu Keisha Aibu kwenu

    • @MarthaMranda
      @MarthaMranda Месяц назад +1

      😂,😂😂😂❤unakosha kweli 😅😅😅😅

  • @BihawaSaidi
    @BihawaSaidi Месяц назад +7

    Yan manyanya kaonyesha uhalisia wa hali ya juu aisee jamaa genious

  • @CLOVISNELSON-fh2pj
    @CLOVISNELSON-fh2pj Месяц назад +159

    Mungu nimuhimu maishani mwako zaidi ya iyi dunia, dondosha like basi kwa ajiliyake ❤❤❤❤

  • @FatumaShemmela123
    @FatumaShemmela123 Месяц назад +366

    Wanaompenda mery huyu mdogo ake na Vai aniambie mm napenda midomo yake

  • @PrettynancyAkoya
    @PrettynancyAkoya Месяц назад +7

    Namuonea huruma vai anapitia wakati mgumu sana Pole sana vai😊😊😢😢😢😅😅😅😮😮❤❤

  • @EmanueliFrank
    @EmanueliFrank Месяц назад +4

    Good job. Coratleon. Angalau piah kipande hiki mmeongeza dakika. Angalau Kila kipande iwe vile-vile

  • @IrakozeMydear
    @IrakozeMydear Месяц назад +85

    Mapenz ya mkee na mume mtu wa pembeni hupaswi kuya ingiliya ona sasa walivyo zalilishwa dada zake vaii😂😂😂

  • @neemamwatowine1672
    @neemamwatowine1672 Месяц назад +122

    Waliokuwa wanaogopa kuangalia wakijua niwale wanaotutumiaga hadi movie za wakina Alpaslan tujuane 😅😅😅😅

  • @JESCABONIPHACE-i8d
    @JESCABONIPHACE-i8d Месяц назад +249

    Mwanaume ni mwanaume tu,anajua kucheza na akili za mwanamke manyanya hongera naelewa somo❤❤

  • @EmelianaMark-n7y
    @EmelianaMark-n7y Месяц назад +25

    Ila mery jaman nampenda xana

  • @nyangeerick7201
    @nyangeerick7201 Месяц назад +41

    mimi mimi "mimi mimi hihi nimetekwaa nimetekwa na mapenzi nimetekwaaaaaaaaaaa
    nakapenda haka kanyimbo

  • @Frenk-c6p
    @Frenk-c6p Месяц назад +79

    Heshima yko manyanya kzi nzuli umetixha xnaaaaaaàaa❤❤❤❤😊😊😊😊❤😊❤❤❤❤😊😊😊❤❤

  • @SalmaMakita
    @SalmaMakita Месяц назад +174

    Me binafsi nishampenda huyu mdogo wao wa mwisho yaan anaongea ukweli ukweli tu muda wote😅😅😅

    • @marthaPastory-m7n
      @marthaPastory-m7n Месяц назад

      Umeona eee ,

    • @SalmaMakita
      @SalmaMakita Месяц назад

      @@marthaPastory-m7n ndio yaan nimkweli mpaka rahaa

    • @Frankdadi
      @Frankdadi Месяц назад

      Yan yeye hana kupindisha pindisha😂😂😂

    • @GermainNyakarhanazi
      @GermainNyakarhanazi Месяц назад

      😂😂😂😂bunyumba nimambo manyanya stratégies ❤❤❤❤❤

    • @RahmaMduma-y2w
      @RahmaMduma-y2w Месяц назад

      Yan pambe kwwl😂❤

  • @msuyaangel
    @msuyaangel Месяц назад +57

    Nmeozaa ndaniii kwa ndaniii natembea ingaliii nmekufaaaa mawazoo yameniweka mtuu katiiii ❤❤❤ dah nomaaaah sanaaa

  • @KuluthumuMsuwakollo
    @KuluthumuMsuwakollo Месяц назад +219

    Ila manyanya mmmh we kaka hongera zako unanifunza mengi kwenye penzi lako na Mati❤❤❤

    • @HasnahTwahiru
      @HasnahTwahiru Месяц назад +2

      Jamn jamn mm pia nnaham kmuuon manyanya akird kwa make wake wa ndoa❤❤❤❤

    • @peterkiarie2266
      @peterkiarie2266 Месяц назад +2

      Mudi mpe talaka mkeo nimwoe

    • @SarahBakari-c3q
      @SarahBakari-c3q Месяц назад

      😂😂😂😂😂😂jaman​@@peterkiarie2266

    • @happinessnzasule5297
      @happinessnzasule5297 Месяц назад +1

      Manyanya kama manyanya we love you ❤

    • @ZubedaHussen-m4d
      @ZubedaHussen-m4d Месяц назад +1

      Ampe tu jmn sinde amechoka

  • @EvaradaKomba-zq7oe
    @EvaradaKomba-zq7oe Месяц назад +89

    Sindi hao wanakuchelewesha sana, we beba mabegi talaka itafata nyuma, me mwenyew nimemchoka mumeo😅😢😂😂

  • @ChristiansphoneArmani
    @ChristiansphoneArmani Месяц назад +147

    Jamani vai kateseka sana lakini wanao amini kwamba manyanya ataludi kwake tujuane 😂❤❤❤

    • @sharifamohd3857
      @sharifamohd3857 Месяц назад +2

      Arudi tu😢😢😢

    • @jameskilasa759
      @jameskilasa759 Месяц назад +4

      Akirudi atamuumiza sana mart ndio maana wanaume tunakufa mapema tunashika mioyo ya mabinti wengi alafu tunaawacha ghafla

    • @LatifaMatayo
      @LatifaMatayo Месяц назад

      😅😅😅😅😅😅​@@jameskilasa759

    • @Amuris-n2q
      @Amuris-n2q Месяц назад +2

      asirud kbs😅😂

    • @godfreysway1732
      @godfreysway1732 Месяц назад +2

      no ata asirud

  • @AmaniNangerembe
    @AmaniNangerembe Месяц назад +6

    Ila manyanya ban your most organization of bongo movie series 🎉🎉🎉🎉🎉

  • @Officialshabani9
    @Officialshabani9 Месяц назад +146

    Mwenyezi Mungu atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲

  • @MahupaMwajuma
    @MahupaMwajuma Месяц назад +93

    Michepuko imeamua kupatana jmn😂😂😂hii nimeipenda sana😂😂

  • @MichaelChilonwa-t8g
    @MichaelChilonwa-t8g Месяц назад +6

    Kwakweli manyanya Yuko vizuri sana mungu amsaidie aendeleee kutufunza

  • @kingdavid8800
    @kingdavid8800 14 дней назад +2

    Uwiiiihhhhh vaileth hajielew jmn!!!! Yaannn ndo maana mm sipendag kuingilia ndoa Za watu😂😂😂😂😂😂

  • @IbrahimAndrea-l1f
    @IbrahimAndrea-l1f Месяц назад +108

    ""Mm mim nimetekwa na mapenzi "" naipenda iyo nyimbo bas tuu❤

  • @magariabdallah8066
    @magariabdallah8066 Месяц назад +83

    Mndeme umewekewa kikao huku 😂😂😂 umekwisha ....KAKA MKUBWA MANYANYA DAAAH INATOSHA SASA UNATUFANYA TUONE MAPENZI NI RAHISI KIASI HIKI🙌🙌🙌🙌🙌🙌

  • @violamagova6685
    @violamagova6685 Месяц назад +94

    Aaah manyanya muongoo😂😂yaani ndio unafanya Vai aoenekane muongo mbele ya dada zake,kisaikolojia unamuweka vai kwenye hali iitwayo kudanganya dadazake kisa mapenzi🤣🤣🤣🤣🤣🏃‍♀️🏃‍♀️🏃‍♀️🙌🙌

    • @NdindaMuthiani-s4o
      @NdindaMuthiani-s4o Месяц назад +3

      😂😂😂

    • @magrethtuma5843
      @magrethtuma5843 Месяц назад +4

      😂😂 kitaalam

    • @sakina5550
      @sakina5550 Месяц назад +6

      Manyanya acha uongo jamn umefanya vai aonekane muogo mbele ya dada zake 😂😂😂😂😂😂

    • @Evelina-nj4tc
      @Evelina-nj4tc Месяц назад +8

      Lakini yote aliyataka mwenyewe ndomana alimuuliza unacho kitengeneza utaweza kuimili kishindo akazalau yani vai acha jua likuwakie

    • @PhaniceMaikuba
      @PhaniceMaikuba Месяц назад +1

      Amecheza kama yeye 🤪😂😂😂😂

  • @RUTHNZIKU-dd5qg
    @RUTHNZIKU-dd5qg Месяц назад +55

    Aaah michepuko ya mndeme shikamoo😂😂😂nmewapenda bureee😅😅

  • @AlfredySaly
    @AlfredySaly Месяц назад +88

    Jaman wanao unga mkono mudy kutoa talak piga like ap❤❤❤

    • @JeniphaEdward-w2b
      @JeniphaEdward-w2b Месяц назад

      Wooooooo safi sana amwache ajiangaikie

    • @stivendelignel588
      @stivendelignel588 Месяц назад

      Amuache aondoke zake yeye ameamuwa ku mchiti muenzie

    • @AlfredySaly
      @AlfredySaly Месяц назад

      @JeniphaEdward-w2b jaman mnajua kua akuna mwanaume mwenye mapenzi ya that Kama walev Mana kwao marazi ni kusaau

    • @AlfredySaly
      @AlfredySaly Месяц назад

      @stivendelignel588 akilewa Nan atampikia

  • @Kacimbaz
    @Kacimbaz Месяц назад +78

    Hakika tunapaswa kujifunza kwa matukio haya ya nfoa mungu awatangulie kwenye kazi yenu hii mzidi kutufunza. Tunawapenda sana

  • @kwizeracedrick-p6u
    @kwizeracedrick-p6u Месяц назад +19

    Eeeeeh jmn sijuw nisem je jins nilivyochelew kuhangalia hii move nitamu mno alafu nawapend nyinyi nyote mliochez hii filamu big up sn🙏👏🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

  • @JidaiJilaga
    @JidaiJilaga Месяц назад +15

    Natamani mudi Ageuke na Aache kabisa pombe Atajilike ili mke wake Amuheshimu kama upo upande wangu tujuane weka like👍

  • @abuuqamar58
    @abuuqamar58 Месяц назад +20

    Congratulations brother manyanya na mchumba wako 😂😂😂 napata somo

  • @NancyMgonja
    @NancyMgonja Месяц назад +110

    Wanaume wotee jifunzeni kwa manyanya jins ya kusifia wake zenu au wachumba zenu jamann manyanya anavuomsifia matty hadi raha yan❤😊😊

    • @Tommbayeye1
      @Tommbayeye1 Месяц назад +1

      Usisahau kuwa hii n tamthilia😅😂

    • @geraldstanslaus2984
      @geraldstanslaus2984 Месяц назад

      nisawa lakin usisaha kuwa matt nimpenzi tu na si mke halali wa manyanya.
      angalia mke halali Sasa, pamoja na maneno mazuri ya manyanya aliyokuwa akimsifia na kumfundisha Ili aishi kama mke mwema ndani ya nyumba hakuweza msikivu na hivyo manyanya kuingia upande wa pili kitu kikakubali lakini pia usikute akifunga ndoa na huyo matt usishangae akabadilika na yeye .
      Hivyo basi wanawake mkiingia kwenye ndoa baadhi yenu mnajisahau rekebisheni hiyo tabia.

    • @jamalnaheka1131
      @jamalnaheka1131 Месяц назад

      😅😅😅😅😅 mpe huyo wadada hawa hawa wa kibongo au???,muulize.​@@Tommbayeye1

    • @GreciousFlower
      @GreciousFlower Месяц назад

      @@Tommbayeye1😂😂😂😂

    • @frankkatima607
      @frankkatima607 Месяц назад

      Wanawake wa kizazi hiki ni uongo

  • @JumanneAthuman-e6j
    @JumanneAthuman-e6j Месяц назад +85

    Kusema kwer manyanya na mati mnatufundisha sana yote kwa yote movie nzur sana tena kweny beat hii ya mimi mimi acha kbxa naombeni like na me nfurahie

  • @mosonimsv
    @mosonimsv Месяц назад +18

    I'm from Kenya I wewe Ni kama kanumba❤😂

  • @yebamwinyi4361
    @yebamwinyi4361 Месяц назад +21

    Manyanya ur de best🎉🎉🎉🥂
    @highlight @followers

  • @FatumaOmary-hu7od
    @FatumaOmary-hu7od Месяц назад +37

    😂ila michepuko wa mdeme wamesha kuwa uduguu halooo🙌🙌🔥😂

  • @benahwebdev9948
    @benahwebdev9948 Месяц назад +190

    Leo lazima ni commnet. Kusema ukweli. Guyz tukapatana na mwanamke kama Matty in real life. Na asiwai geuka tabia yake. Hapa tunafunga pingu ya maisha milele. Nani anakubaliana na mm🙋‍♂🙋‍♂🙋‍♂

  • @NackyNtembo
    @NackyNtembo Месяц назад +4

    Jamani ndoa ya manyanya kama inasokoteka kama ivio sema mwrnyewe et ndoa msokoto Nani ameliona ilo kama mm tujuwane apa😂😂🎉🎉

  • @MilanziNkave
    @MilanziNkave Месяц назад +57

    Big up 👆 sana manyanya mungu awajalie muendelee kuelimisha tu nahote tunao fatilia dunia🎉🎉🎉🎉

  • @samwelnestory8716
    @samwelnestory8716 Месяц назад +65

    Tunaomba ITV na channels zingine zi saport ni somo kwa wasio kuwa na simu kubwa gonga like ❤❤🎉

  • @PeterCharlesSamson
    @PeterCharlesSamson Месяц назад +57

    😂😂😂 mnajua nachekea nn jinsi kidume anavyo jiamin nasubili wajichanganye kiwalambe

    • @SaraUlaya-is2ch
      @SaraUlaya-is2ch Месяц назад +1

      Umeona ee na kinawalamba kweli voo😂😂😂

    • @mamaaanmar1261
      @mamaaanmar1261 Месяц назад +1

      Kinawaramba. Sio mdamrefu😂😂😂

    • @RemijaMakoga
      @RemijaMakoga Месяц назад +3

      Hahaha jmn huyu baba dah

    • @RemijaMakoga
      @RemijaMakoga Месяц назад +1

      Ameruka jamn kama sio yeye anaekaa kwa mati

    • @LailatSleyoum-ex6rb
      @LailatSleyoum-ex6rb Месяц назад +3

      Haujaelewa manyanya halali kwa mat na mat hajui nini kinaendelea nyumban kwa manyanya anaona ni kawaida​@@RemijaMakoga

  • @AbelichristopherKonk-h3z9i
    @AbelichristopherKonk-h3z9i Месяц назад +5

    Mnatisha sana wakuu wanao muonea huruma vai ❤❤❤❤😂😂😂like

  • @KaliniaMori
    @KaliniaMori Месяц назад +15

    One of the best episode walahi mnajua❤❤❤❤

  • @NaomyJohn-hd4bq
    @NaomyJohn-hd4bq Месяц назад +79

    Jaman Kam Kuna wanawake wapo kwenye ndoa,,tushikirikiane,,kumuombea Vai msamaha,,,man na sisi tunaumia,,kuona mchepuko,,anatutesea mwanamke mwenzetu😢😢😢😢😢😢

    • @FatmaAlly-w7p
      @FatmaAlly-w7p Месяц назад +2

      Mimi Naona Sawa kwasababu hana kauli nzuri Kwa mumewe mume anahitaji malezi maneno mazuri kwahiyo Sawa ili ajifunze

    • @WitnessMasongo
      @WitnessMasongo Месяц назад

      😂😂😂😂

    • @AishaDiddi
      @AishaDiddi Месяц назад

      Ila manyanya huyo mchepuko atakuja muumiZa vibaya mnooo

    • @NeemaMaganga-f4k
      @NeemaMaganga-f4k Месяц назад

      Yaan, me mwenyew Hadi movie ishaanza kunikwaza

    • @mwljohnray1725
      @mwljohnray1725 Месяц назад +2

      @@FatmaAlly-w7pDhambi haitibiwi na Dhambi maana kila kosa linalipiwa, nikweli Vai anakosea na alikosea nahata njia anayotumia kusuluhisha anakosea maana suluhu ni kua na unyenyekevu na utii yeye anaweka ligi atalipia lakini pia Manyanya Yupo katika Good time now but huu uovu wakutika nje ya ndoa atalipia, Mungu sio Shabani

  • @SharifaShery
    @SharifaShery Месяц назад +17

    Mr manyanya mungu azid kukujaalia kwa kila hatua unayopiga maana uko vizur kila idara baba wewe ongera sana kwa kipaji chako🙌🙌🙌🙌

  • @annymassawe1311
    @annymassawe1311 Месяц назад +2

    Merry yyo ni mm mtupuu😅😅😅

  • @MakaNkoka
    @MakaNkoka Месяц назад +68

    ila Mary we kiboko 😂😂😂😂❤❤❤❤❤❤ nmekupenda bure😂😂😂

    • @JohnKaseja
      @JohnKaseja Месяц назад +2

      Aise ninekusapot

    • @ZenahAbdallah-r7v
      @ZenahAbdallah-r7v Месяц назад +1

      Aki amenifurahisha 😂😂😂😂

    • @MakaNkoka
      @MakaNkoka Месяц назад +1

      @JohnKaseja yaan kajua kunifurahisha linajua hadi raha et shemej kawa mta,,,,,,,,,,,,,!!!!!!!!!!!!!!!😂😂

    • @JohnKaseja
      @JohnKaseja Месяц назад

      @MakaNkoka nihatali nakwambia

    • @NemaItangishaka
      @NemaItangishaka 26 дней назад

      Mer amenifurahisha kbs 😂😂😂

  • @MwagadiJamilaAbdalla
    @MwagadiJamilaAbdalla Месяц назад +79

    Wachezea kk manyanya ww ameshindikana manyanya walikua wanamsubri kwa hamu imekula kwao oyoooooooo nimeipenda hiyo 🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉chukua maua yako kk🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @mariammbogo2283
      @mariammbogo2283 Месяц назад +1

      Na hapo ndo washamkosa akimpeleka baba hospitar ndo kashasepa

    • @MariaSalim-u5z
      @MariaSalim-u5z Месяц назад

      😂😂😂😂😂

    • @RizikiZiki
      @RizikiZiki Месяц назад +1

      😂😂😂yani nilijuwa uyo mwamba hawamuwezi nyo wameishiwa pose

    • @NNguyen-xr4lt
      @NNguyen-xr4lt Месяц назад

      😂😂😂😂

  • @CareenScola
    @CareenScola Месяц назад +118

    Hatimae Leo nimekua wa kwanza jaman like zangu❤❤❤

  • @IreneloveTino-y3w
    @IreneloveTino-y3w Месяц назад +1

    Kitaalamu inaitwa ndoa mbomoko😂

  • @Goodluck_Mmasa
    @Goodluck_Mmasa Месяц назад +14

    Mungu awalinde na kuwatunza daima maana yeye ni kila kitu kwetu...hongeren kwa kazi nzuri

  • @Frank-l2k
    @Frank-l2k Месяц назад +101

    Manyanya apa ndio nmejua vai anakupenda na kafa nakuoza kwako for sure usimuache sababu mchepuko I say congratulations kwako vai na manyanya 🎉🎉🎉halafu muddy wewe toe talaka muache ciddy awe huru umeshindwa na ndoa wewe😊😊😊

    • @sharifamohd3857
      @sharifamohd3857 Месяц назад +1

      Yaan nimeumia sana na nimemuonea huruma maskin dah😢😢😢😢😢😢

    • @mariammbogo2283
      @mariammbogo2283 Месяц назад +2

      Kabisa aiseee ila Manyanya 😂😂😂

    • @anniesylivester4100
      @anniesylivester4100 Месяц назад +5

      Shida ya vai kiburi na mjivuno kisa msomi😂😂😂hiii anatufunza wanawake wengi

    • @Frank-l2k
      @Frank-l2k Месяц назад +3

      Kweli hii movie Iko na mafunzo mazuri sana kwa wanandoa , tunza, thamini, na heshimu mumeo kabla mambo hayajaharibika akajutia 🥰🎉🎉💓

    • @DorcasNasimiyu-z2i
      @DorcasNasimiyu-z2i Месяц назад +2

      Mambo ya watu wawili usiingilie😂😂

  • @FranciscaManga-j4c
    @FranciscaManga-j4c Месяц назад +42

    Manyanya me napika unatumia ndimu nikuekee 😂😂😂😂😂
    Asante umenifuraisha my love

  • @JENIFFERISAACK
    @JENIFFERISAACK Месяц назад +2

    Sa mboga si imeungua uko jikonii jaman mkatie ndimu basii

  • @SalomeMkosamala-m4i
    @SalomeMkosamala-m4i Месяц назад +36

    Jmniiii watu mnajua kuwahii😂😂😂anyway mmewah had raha🎉🎉🎉😂❤❤❤

  • @floodboytz
    @floodboytz Месяц назад +105

    Mmejua kunifurahisha nmetoa mwendelezo mapema ❤❤❤

  • @AlfredPeter-rn8iz
    @AlfredPeter-rn8iz Месяц назад +24

    Niseme kweliiii au ninyamaze???????
    Pale SINEMA ZETU amna movie kali kama hii
    Na hii tamthilia ilistahili heshima zaidi na zaidi ila basiii tuuu mungu yupo hii itafika mbaliii sanaaaaaa🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏🙏

    • @JovinahMwasongwe
      @JovinahMwasongwe Месяц назад

      Hiiii

    • @ChimumyClassic-xq7dk
      @ChimumyClassic-xq7dk Месяц назад +2

      Kuna tufani broo ni nzuri sana

    • @shaniAbdul-t1x
      @shaniAbdul-t1x Месяц назад

      ​@@ChimumyClassic-xq7dkusiifananishe duniya na tufani bn. Ni nzuri kwa kuburudisha tu. Ila haina mafunzo kama hii ni umalaya umalaya tu mule

  • @RosemaryJohn-e7w
    @RosemaryJohn-e7w Месяц назад +2

    Vai alizidi ùjeuri acha kimlambe😅😅😅😅😅 dadeki zake

  • @evelnjuma1834
    @evelnjuma1834 Месяц назад +65

    Wow kazi nzuli sna manyanya hongela Sana tunawapnda Sana ♥️♥️♥️♥️🌹🇹🇿

  • @mustafakimwaga
    @mustafakimwaga Месяц назад +57

    Dunia ni Nzuri wahusika wote wazuri wanacho kifanya nikizuri Mungu abariki zaidi mnacho kifanya

  • @BaddyAhmad
    @BaddyAhmad Месяц назад +36

    Wanaume tuamke tufwate njia sa manyanya tusitatizwe na mashemegi hata kama kuna shida one love sote tunaofwatilia 🎉🎉 kutoka poland 🇵🇱🇵🇱🇵🇱

  • @lamnyaklokina2288
    @lamnyaklokina2288 23 дня назад +2

    8:11 wazee njooni kwenye kikao😂😂😂

  • @EkronMasilu-d3j
    @EkronMasilu-d3j Месяц назад +77

    Yeeeeeeees Wanaongalia Hii Dunia Leo Juma Tano Gonga LIKE hapa Sisi ni Familia Saaaana

  • @joelinyembe8000
    @joelinyembe8000 Месяц назад +36

    Muddy ananikera kweli ulev,plus kuto kuhudumia afu unamngangania mtot wa watu bc km ni umaskini hatukatai acha pombee 😪

  • @aludomakori4230
    @aludomakori4230 Месяц назад +48

    Nimeburudika sana jmn,mi huwa nafuatilia tu vipande vya Manyanya,kwa kweliiiiiii❤

  • @seifkhamis2840
    @seifkhamis2840 Месяц назад +2

    Kama unaangalia ukiwa kitandaani na umechomeka simu chargi tuwe marafiki 😂🤣

  • @muhajingereza8448
    @muhajingereza8448 Месяц назад +49

    Hapa mmeweza kwakweli weka tuweke ndio nzuri hii yakusubir week mzima hapa,hii safi🙌

  • @ClearGeoge
    @ClearGeoge Месяц назад +67

    Jeshi la vaii limeshindwa kaziii manyanyaaa amewazidii akiliii haaaaaa😂😂😂😂❤❤❤🎉🎉

    • @toryazimio3429
      @toryazimio3429 Месяц назад +1

      Kabisaaa 🙌😂

    • @ClearGeoge
      @ClearGeoge Месяц назад

      @toryazimio3429 😁

    • @mubuyafrancis3979
      @mubuyafrancis3979 Месяц назад +1

      Mwanaume ni mwanaume hatushindw kitu kabisa

    • @ClearGeoge
      @ClearGeoge Месяц назад

      🤣🤣

    • @ashuramanya9282
      @ashuramanya9282 Месяц назад +2

      Vai ndo kaharibu kabisa.🥺🤦‍♀️ameniuzi mimi kuuitika bya uwongo nawakati anaumiya...atajikuta siku moja ananguka cini na kufa kwa kujikaza mambo.

  • @RebeccaMagembe-q5z
    @RebeccaMagembe-q5z Месяц назад +38

    tulio angaria dunia chini melisa imetusubiri 😂😂 tujuane 😊

  • @munamamaj9622
    @munamamaj9622 Месяц назад +2

    Vai kasomea uchepuko au nn❤❤❤❤ nampenda sana

  • @BujikuMashamba
    @BujikuMashamba Месяц назад +27

    Hii ni kazi nzuri sana hongeren

  • @chachamagoiga490
    @chachamagoiga490 Месяц назад +53

    Huyo mdada kamkata vai kinoma kusema ukweli❤❤❤

  • @bakarysalimu7012
    @bakarysalimu7012 Месяц назад +12

    Mimi mimi nimetekwa,nimetekwa na mapenzi ❤. Mnafanya kazi nzuri mno , MUNGU awaongoze Amina inshaallah

  • @Jumaayyuub
    @Jumaayyuub Месяц назад +1

    Mary amekuja kuchangamsha🎉🎉🎉🎉

  • @Fariha-j7d
    @Fariha-j7d Месяц назад +18

    Duh manyanya umetisha 😅😅😅🎉🎉🎉🎉🎉❤❤❤🎉🎉🎉❤❤❤😂 via hakuamin 😅😅😅😅

  • @KoreanDramaMoviesKiswahili
    @KoreanDramaMoviesKiswahili Месяц назад +45

    ❤❤❤

  • @GiriadyMsumle-jw1ek
    @GiriadyMsumle-jw1ek Месяц назад +28

    Mungu awabariki sana wapendwa Kwa kutufundisha maisha 🙏🙏🙏

  • @GloryMmary
    @GloryMmary Месяц назад +18

    Nawapenda sana mati na manyanya😻😻😻 japo namuonea uruma mke wake manyanya anavoteseka

    • @LameckLameck-q7d
      @LameckLameck-q7d Месяц назад +1

      Ukitaka usimuonee huruma mke wa manyanya da vailet rudi kaangali episode ya 1 hadi pale manyanya anapo amua kupata mchepuko huruma itaisha2.💯💯😅

  • @RobsonLugomi
    @RobsonLugomi Месяц назад +36

    Manyanya anaakili sana ona alivyo ingia dadekiiiii😂😂😂😂😂😂wote wamepoa

    • @SalomeMkosamala-m4i
      @SalomeMkosamala-m4i Месяц назад +2

      😂😂🎉🎉❤apewe maua yake

    • @ElikaShayo
      @ElikaShayo Месяц назад

      🎉🎉🎉🎉

    • @ARONPaul-bz3ws
      @ARONPaul-bz3ws Месяц назад +1

      Uyooo ndooo ceo wa wanaume😅

    • @AnnaLema-fg1he
      @AnnaLema-fg1he Месяц назад

      Manyanya anajua vai anampenda ndy maana anamtesa 😢😢

    • @Mohabmts
      @Mohabmts Месяц назад

      Hapa ingekuwa mimi ni Vai vile manyanya si mgumu kutoa hela ningemwitisha hela nyingi kidogo nikamwambia naomba niende nitafute sehemu nikapooshe akili then ningekusanya nikaenda kukodi hata chumba sehemu nikajiweka busy na kusaka hela bila kumfatilia tena wala kumwonyesha chuki ila bora hangejua niko wapi muda ukipita hajaniona wala simwombi tena hela angenitafuta mwenyewe tu

  • @NeemaAkyoo-s4s
    @NeemaAkyoo-s4s Месяц назад +40

    Michepuko ya mdeme imenoga kama vile nyumba yao😂😂😂😂😂

  • @VitalisMasasila
    @VitalisMasasila Месяц назад +59

    Duuuuh dkk 3 tu watu 300 wameshafika jaman kweli mpo active sana, mbarikiwe kwa hilo🎉🎉🎉🎉🎉

    • @gloriaburamu8818
      @gloriaburamu8818 Месяц назад

      🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉🎉

    • @vincej9275
      @vincej9275 Месяц назад

      Vitalis tuna share jina bro.

    • @ShaloAbasi
      @ShaloAbasi 10 дней назад

      mudy anyoe mandevu kawa kama kichaa

  • @irenebenbella
    @irenebenbella 7 дней назад +1

    Uyu merry ni mim kbc uwiii 🙌🙌🙌🙌😅😅😅

  • @AliceWami
    @AliceWami Месяц назад +23

    Ni sawa vai alikuwa jeuri sana ila amekuwa mwema kwa mmewe na upendo umezidi manyanya nisamehee unatuuminza mashabiki

  • @notibonizo
    @notibonizo Месяц назад +19

    Leo nimewapongeza sana.. From Kenya... Inafaa hivi tusiboek sana

  • @BelindaNgowi
    @BelindaNgowi Месяц назад +13

    Leo merry kanifurahisha😂😂😂”ety shemej leo kawa MTAMU”

  • @StadiusCornely
    @StadiusCornely Месяц назад +13

    Daaah so nice Dunia,coz kuna Good education 💪💪👍👍💕